By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: MAREHEMU ALIYEKUFA KWA KUJINYONGA
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Kijiweni > MAREHEMU ALIYEKUFA KWA KUJINYONGA
Kijiweni

MAREHEMU ALIYEKUFA KWA KUJINYONGA

admin
Last updated: 2023/04/25 at 6:30 PM
admin
Share
SHARE


Vituko na vitimbwi msibani kwa kijana Gideon Sirikwa aliyefariki kwa kujinyonga kwenye mtu wa parachichi AMEZIKWA Leo nyumbani kwake katika Kitongoji Cha Olorien Kata ya Olorieni Arumeru
Msiba huo ambao walikuwa vijana mbalimbali ambao ndiyo waliubeba mwili mpaka makaburini wametumia masaa matatu kufukia kaburi kwasababu walichimba futi kumi na Moja lakini walipona kama ni parefu wakamua kupunguza mpaka futi kumi na nusu ambapo katika Hali ya kawaida wataalamu wa makaburi binadamu anazikwa urefu wa futi sita
Walipoulizwa na Kusaga Tv kwanini wamechimba futi kumi na Moja wakasema Marehemu alikuwa na dharau
Tunavyojua katika msiba mchungaji anaombea mwili na ibada inafanyika na makabini mwili unaombewa na baada ya kuweka kwenye Ardhi na kufukiwa Ili watu watawanyike unaombewa lakini kutokana na vurugu za vijana waliokuwepo katika eneo hilo makaburi walilazimika kuweka madhada wenyewe na Kufanya Kila kitu wenyewe

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
admin April 25, 2023
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?