Hiki ndio sikielewi kwa wamarekani…. muda mwingine nawafanisha na watusi wa zamani… wazee wengi wanahadisia kuwa mtusi alikua anahama hama boma pale mtu anapofariki ama wanadai wanaume wazamani walikua wakisha walikua wanaacha mke baada ya kumzalisha watoto wanne ama sio kuacha wanaongezea mke mwingine maana wameshazehesha yule aliyekuwepo.
Sasa hawa wamarekani, wote kwa wazungu na weusi huwa hawakaagi ama hawadumu kwenye ndoa. Wanashangaa kweli wanapokuona hujaacha mke aliyepo na kuoa mke mwingine hasa baada ya miaka kadhaa… naweza kusema watoto wao wanapokua kati ya miaka mitatu hadi 9 humo utawasikia wanaachana. Yaani wasipoachana ni kama wamekosea maisha. Wanadai hawaowi zaidi ya mke/mme mmoja ila wanatafuna kamoja kamoja. No kawaida kusikia mtu anakwambia nipo kwenye ndoa ya 2, ya 3, 4,…. ama sina mtu ila naishi na girlfriend ama boyfriend na anayekwambka hivyo anamiaka 50, 60+.
Wengine huwa hawaowi nabkuishi kwenye upweke. Watu wengi ni wapweke na ndio kama hawa wazee wa miaka 60 wanatafuta kajivulana… na kufanya wayatakayo. Kama ni wapweke mbona wasiishi na gf ama bf? Wanakwambia bora waishi na mbwa ama paka maana hatokuudhi kuliko kuishi na binadamu mwingine.
Ni mara nyingi kukuta wametelekeza familia na watoto kuhahaha … ni kawaida kusikia mtu anakwambia sina ndugu maana hawaendelezagi undugu… muda mwingine hawa wanaouwashana na kuuwana nawaelewa. Jitu liliterekezwa na kuishi mitaani ama kama omba omba halafu unakuta mtu mweusi anapewa misaada na serikali na haoni huo umuhimu… hawaendi shule huku kwenda shule ingekua bure ama basi tuu wanaamua kuishi mitaani nabkuwa wahuni… Sasa mtu aliyetupwa na familia akabahatika kuwa police kwa nini asilipizie kwa kufyatua yule ambae sio mzungu… anayepewa misaada huku huyo police alisota mwenyewe mpaka kufika hapo alipo.
Na amini tumeumbwa tuishi pamoja… wawili wawili at least na kuvumiliana kwa yote.