By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
LiwalonaliweLiwalonaliwe
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Kijiweni
  • Dating
  • Career
Search
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Hata mapadri waowe tuu
Share
Sign In
Notification Show More
Latest News
DC Ngara Katika Hili Umechemka, Kama ni Kweli Waombe Radhi Vijana
Uvumi
Ukimya ni Uoga ama ni Usalama?
Uvumi
Nini Faida ya Jumuiya?
Kijiweni
Mavazi Yanaashiria Nini?
Za Kitaa/Street Talks
Majirani: Tumeponzwa na Pesa Kutoka Kwa Wazungu
Kijiweni
Aa
LiwalonaliweLiwalonaliwe
Aa
Search
  • Uvumi
  • Za Kitaa/Street Talks
  • Focused Affairs
    • Dating
    • Career
    • Kijiweni
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Liwalonaliwe > Kijiweni > Hata mapadri waowe tuu
Kijiweni

Hata mapadri waowe tuu

admin
Last updated: 2025/05/09 at 7:00 PM
admin
Share
SHARE

Hara mapadri waowe tuu. Maana ni mengi yanayofanyika nyuma ya mlango na yanapowekwa wazi ni imani kwenye taasisi tunazoheshimu inayopotea na kushindwa kuhudumia jamii.

Masisters, brothers, Padres and so on waowe na kuolewa. Labda wasiwe na watoto wengi ila kulimit love sio kitu kizuri. Huyo yesu analltaendelea kukupenda hata kama ungeitwa baba/mama. So this celibacy thing is causing more damages and contradicts the bible: nenden mkazaliane.

Nilipokua shule Kuna madada walikua wanajipereka kwa Franciscan na Jesuits brothers ili wawajaribu.

So ukiona padri ama brother/sister… muulize ni raha gani angekua nayo angeletea hii Dunia copy of his/her own… they would bring beautiful children ila Sasa majuu wanawakataza.

Je hii ni hali ilivyo Africa ama wanazaa/zalishwa na kwenda kuficha hawa wapwa zetu?

Any input? Mmeona mangapi huko mlipo?

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
admin April 25, 2023
Share this Article
Facebook Twitter Copy Link Print
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LiwalonaliweLiwalonaliwe
Follow US

© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

[mc4wp_form]
Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Register Lost your password?